Na: Anthony Ishengoma - Maendeleo ya Jamii
Wasichana Nchini Tanzania wanakumbana na changamoto mbalimbali katika makuzi yao ikiwemo ukatili wa kingono na mimba za utotoni .
Akiongea na vyombo vya habari mjini Dodoma leo wakati wa Kongamano la maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika,Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamis Kigwangala amesema takwimu zinaonesha kuwa asilimia 51.4 ya idadi ya watoto nchini ni wasichana.
”Mtoto wa kike 1 kati ya watoto 3 na mtoto wa kiume 1 kati ya 7 wanakumbana na ukatili wa...
Read More