Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani na Mbunge wa jimbo la Kikwajuni, Mhandisi Hamad Masauni (wa tatu kushoto) akiongea na Mratibu wa Umoja wa Mataifa nchini Tanzania, Alvaro Rodriguez (kushoto) alipotembelea Mradi wa Maji wa Kikwajuni, uliozinduliwa na Rais wa Zanzibar, Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein miaka miwili iliyopita ikiwa ni juhudi za Mbunge huyo kushirikisha wadau katika kuhudumia na kutatua kero mbalimbali za wananchi wa Jimbo hilo. Kuilia ni Mkurugenzi Uzalishaji Maji wa Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA), Mhandisi Mohamed Elyas na anayefuata...
Read More