Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli (wa tano kulia) akikata utepe unaoashiria uzinduzi wa mradi wa matrekta ya URSUS SA unaosimamiwa na Shirika la Taifa la Maendeleo la Taifa (NDC) 21 Juni, 2017 katika eneo la TAMCO lililopo Kibaha, Mkoani Pwani.
Na. Benedict Liwenga-WHUSM.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amelipongeza Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) kwa ufanisi mkubwa walioufanya wa kuanza kuunganisha matrekta aina ya URSUS ambayo vifaa vyake hutengenezwa nchini Pol...
Read More