[caption id="attachment_5323" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Nyangao iliyopo katika Jimbo la Mtama Mkoani Lindi kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo. Wapili kushoto kwake ni Mbunge wa Mtama Nape Nnauye.[/caption] [caption id="attachment_5324" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye wakisalimiana na wananfunzi wa Shule ya Sekondari ya Nyangao mkoani Lindi kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo.[/caption] [caption id="attachment_5326" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye wakisalimiana na wananfunzi wa Shule ya Sekondari ya Nyangao mkoani Lindi kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo.[/caption] [caption id="attachment_5327" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Nyangao iliyopo katika Jimbo la Mtama Mkoani Lindi kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo. Wapili kushoto kwake ni Mbunge wa Kuteuliwa, Mama Salma Kikwete na kulia ni Mbunge wa Mtama Nape Nnauye.[/caption] [caption id="attachment_5329" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Nyangao iliyopo katika Jimbo la Mtama Mkoani Lindi kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo. Kushoto kwake ni Mbunge wa Kuteuliwa, Mama Salma Kikwete na wapili kulia ni Mbunge wa Mtama Nape Nnauye.[/caption] [caption id="attachment_5332" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Nyangao iliyopo Jimbo la Mtama mkoani Lindi kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo. Kushoto kwake ni Mbunge wa Kuteuliwa, Mama Salma Kikwete na wapili kushoto kwake ni Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]