Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Dk.Shein Akutana na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Biashara la Taifa la Zanzibar
Jul 04, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_5382" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Biashara la Taifa la Zanzibar (ZSTC)pamoja na Uongozi wa Shirika la Biashara la Taifa la Zanzibar (ZSTC) katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.[/caption] [caption id="attachment_5383" align="aligncenter" width="750"] Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Biashara la Taifa la Zanzibar (ZSTC) Bw.Kassim Malik Suleiman (kushoto) na Wajumbe wengine wa Bodi hiyo wakiwa katika kikao cha siku moja na Uongozi wa Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko pamoja na Uongozi wa Shirika la Biashara la Taifa la Zanzibar (ZSTC) chini Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) kilichofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.[/caption] [caption id="attachment_5386" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Biashara la Taifa la Zanzibar (ZSTC) pamoja na Uongozi wa Shirika la Biashara la Taifa la Zanzibar (ZSTC) katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja[/caption] [caption id="attachment_5389" align="aligncenter" width="750"] Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Biashara la Taifa la Zanzibar (ZSTC) Bw.Kassim Malik Suleiman (kulia) alipokuwa akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati wa kikao cha siku moja ambacho kiligusia masuala mbali mbali kuhusu Shirika la Biashara la Taifa la Zanzibar (ZSTC) leo Ikulu mjini Unguja. Kushoto ni Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Mhe.Amina Salum Ali.(Picha na Ikulu).[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi