Na: Frank Mvungi – MAELEZO, Dodoma
Kuimarika kwa Mawasiliano Kati ya Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mikoa na Halmashauri kumetajwa kuwa chachu ya kuboreshwa kwa huduma za jamii hasa kupitia kwa mfumo mpya wa kielektroniki utakaowezesha wananchi kushiriki katika Kupanga na kuamua vipaumbele vyao katika sekta zinazogusa maisha yao kila siku ikiwemo Afya.
Akizungumza katika mahojiano maalum Mganga Mkuu wa Mkoa wa Tanga Dkt. Asha Mahita ambaye ni mmoja wa washiriki wa mafumzo ya matumizi ya mfumo wa kielektroniki utakaotumika kuandaa Bajeti,Mipang...
Read More