Na Eleuteri Mangi, WHUSM, Dodoma
Serikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa leseni kwa vituo 32 vya televisheni hapa nchini ikiwa ni kuongeza muonekano na usiku katika maeneo mbalimbali ya nchi.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura leo Bungeni mjini Dodoma alipokuwa akijibu swali la Martin Alexander Mtonda Msuha Mbunge wa Mbinga Vijijini ambapo alitaka kujua idadi ya vituo vinavyorusha matangazo kwa njia ya televisheni na Makampuni yanayomiliki vituo hivyo.
Alio...
Read More