Na: Prisca LIbaga-Arumeru.
TAASISI ya kuzuia na kupambana na rushwa (Takukuru), Wilayani Arumeru imeagizwa kuwaandalia makongamano ya kutoa elimu ya mapambano ya rushwa Klabu ya wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Mwandeti, iliyopo wilayani Arumeru Mkoani Arusha.
Agizo hilo limetolewa Septemba 3 na kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa, Amour Hamad Amour, aliyetembelea shule hiyo alipokuwa akizindua bweni jipya la wasichana lililojengwa kwa nguvu za wananchi na serikali
Amesema amevutiwa na Klabu hiyo ya wanafunzi ambayo imekuwa ikiel...
Read More