Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Watanzania Washiriki Tamasha la Utamaduni kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki
Sep 10, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_12956" align="aligncenter" width="750"] Aliyesimama na kushika Microphon Bw. Iddi Suwed Mkurugenzi Mkuu wa Kikundi cha taifa cha tarabu cha Wizara ya Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Zanzibar wakati wakitumbuiza nchini Uganda.[/caption] [caption id="attachment_12961" align="aligncenter" width="750"] Wasanii wa kikundi cha Taifa cha Wizara Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Zanzibar wakicheza ngoma ya asali ya Zanzibar.[/caption] [caption id="attachment_12962" align="aligncenter" width="750"] Aliyevaa suti ya bluu na skafu ya bendendera ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanania ni Kaimu Balozi ambaye pia ni Naibu Balozi wa Tanzania Nchini Uganda Bw. Elibariki Maleko, aliyevaa shati jeupe ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wa Tanzania Bara Profesa Elisante Ole Gabriel na Naibu Katibu Mkuu wake Bi. Nuru Milao wakiangalia ngoma za utamaduni katika onesho la usiku.[/caption] [caption id="attachment_12963" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya Watanzania wakiangalia ngoma za utamaduni wakati wa onesho la sanaa usiku[/caption] [caption id="attachment_12964" align="aligncenter" width="750"] Wasanii wa kikundi cha Kakau Band kutoka Bukoba wakitumbuiza katika jukwaa la Tanzania wakati wa mchana.[/caption] [caption id="attachment_12969" align="aligncenter" width="750"] Wasanii wa kikundi cha Taifa cha Utamaduni cha Wizara ya Habari Utamaduni Utalii na Michezo Zanzibar wakicheza ngoma ya Msewe ambayo ni maafuru Kisiwani Pemba. (Picha na: Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki)[/caption]  

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi