Na Lilian Lundo - MAELEZO, Dodoma
[caption id="attachment_47142" align="aligncenter" width="750"] Afisa Habari wa Halmashauri ya Bahi, Dodoma, Bw. Benton Nollo, akitoa neno la shukrani kwa mgeni rasmi aliyefunga mafunzo ya uandishi wa habari za serikali kwa Maafisa Mawasiliano, Habari na Uhusiano, Katibu Mkuu wa TAMISEMI, Mhandisi Joseph Nyamuhanga. Mafunzo hayo ya siku tano yaliwashirikisha maafisa habari kutoka wizara, halamshauri na taasisi za serikali.[/caption]
Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano Serikalini wameahidi kuitangaza m...
Read More