Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Maafisa Habari Waagizwa Kutumia Taaluma Zao Kutangaza Miradi ya Serikali
Sep 20, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_47133" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa –TAMISEMI, Mhandisi Joseph Nyamuhanga akizungumza wakati wa hafla ya kufunga mafunzo kwa Maafisa Habari na Mwasiliano wa Serikali na taasisi zake leo jijini Dodoma. Mafunzo hayo ya siku tano yaliandaliwa kwa ushirikiano baina ya Idara ya Habari – MAELEZO na Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) kwa lengo la kuwajengea uwezo maafisa hao. [/caption] [caption id="attachment_47136" align="aligncenter" width="750"] Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO,Bw. Jonas Kamaleki akimkaribisha Mhandisi, Joseph Nyamhanga ambaye alikuwa mgeni rasmi katika hafla ya kufunga mafunzo kwa Maafisa Habari na Mwasiliano wa Serikali na taasisi zake leo jijini Dodoma. Mafunzo hayo ya siku tano yaliandaliwa kwa ushirikiano baina ya Idara ya Habari – MAELEZO na Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) kwa lengo la kuwajengea uwezo maafisa hao.[/caption] [caption id="attachment_47137" align="aligncenter" width="750"] Makamu Mwenyekiti wa TAGCO Bi. Saraha Kibonde Msika akizungumza wakati wa hafla ya kufunga mafunzo kwa Maafisa Habari na Mwasiliano wa Serikali na taasisi zake leo jijini Dodoma. Mafunzo hayo ya siku tano yaliandaliwa kwa ushirikiano baina ya Idara ya Habari – MAELEZO na Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) kwa lengo la kuwajengea uwezo maafisa hao.[/caption] [caption id="attachment_47138" align="aligncenter" width="750"] Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Chama cha Maafisa Habari na Mawasiliano wa Serikali (TAGCO), Bw. Innocent Byarugaba akizungumza wakati wa hafla ya kufunga mafunzo kwa Maafisa Habari na Mwasiliano wa Serikali na taasisi zake leo jijini Dodoma. Mafunzo hayo ya siku tano yaliandaliwa kwa ushirikiano baina ya Idara ya Habari – MAELEZO na Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) kwa lengo la kuwajengea uwezo maafisa hao.[/caption] [caption id="attachment_47140" align="aligncenter" width="750"] Afisa Habari toka Idara ya Habari – MAELEZO, Bw. Kelvin Kanje akitoa mada kuhusu namna ya kutumia Mitandao ya Kijamii katika kuwasiliana wakati wa siku ya mwisho ya mafunzo kwa Maafisa Habari na Mwasiliano wa Serikali na taasisi zake leo jijini Dodoma. Mafunzo hayo ya siku tano yaliandaliwa kwa ushirikiano baina ya Idara ya Habari – MAELEZO na Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) kwa lengo la kuwajengea uwezo maafisa hao.[/caption] [caption id="attachment_47142" align="aligncenter" width="750"] Mwakilishi wa washiriki wa mafunzo kwa Maafisa Habari na Mwasiliano wa Serikali na taasisi zake, Bw. Benton Nholo akitoa neno la shukrani kwa niaba ya wenzake wakati wa hafla ya kufunga mafunzo hayo leo jijini Dodoma. Mafunzo hayo ya siku tano yaliandaliwa kwa ushirikiano baina ya Idara ya Habari – MAELEZO na Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) kwa lengo la kuwajengea uwezo maafisa hao.[/caption] [caption id="attachment_47146" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa –TAMISEMI, Mhandisi Joseph Nyamhanga akiwa katika picha ya pamoja na Sekretarieti iliyoandaa mafunzo kwa Maafisa Habari wa Serikali mara baada ya kufunga mafunzo hayo leo Jijini Dodoma. Kutoka kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa TAGCO Bi. Saraha Kibonde Msika na kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO, Bw. Jonas Kamaleki. Mafunzo hayo ya siku tano yaliandaliwa kwa ushirikiano baina ya Idara ya Habari – MAELEZO na Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) kwa lengo la kuwajengea uwezo maafisa hao. (Picha na Idara ya Habari – MAELEZO)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi