Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Afungua Mkutano SADC wa Masuala ya Tehama, Uchukuzi, Habari na Hali Ya Hewa
Sep 19, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_47117" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe, wakati akiwasili kwenye ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam, kufungua Mkutano wa Mawaziri wa Nchi za SADC wa masuala ya Tehama, Uchukuzi, Habari na Hali ya Hewa.[/caption] [caption id="attachment_47111" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia mfumo wa unaorahisisha mawasiliano kwa vyombo vya usafiri(Traffic Information System - TIMS), kabla ya kufungua Mkutano wa Mawaziri wa Nchi za SADC wa masuala ya Tehama, Uchukuzi, Habari na Hali ya Hewa, uliyofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam[/caption] [caption id="attachment_47113" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia gari maalum la mtambo wa usimamizi wa masafa, nje ya ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam, kabla ya kufungua Mkutano wa Mawaziri wa Nchi za SADC wa masuala ya Tehama, Uchukuzi, Habari na Hali ya Hewa. Septemba 19.2019. Kulia ni Mhandisi Mwandamizi, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, Victor Kweka.[/caption] [caption id="attachment_47114" align="aligncenter" width="750"] Mwakilishi wa Katibu Mkuu SADC, Mapalao Makuena, akizungumza kwenye Mkutano wa Mawaziri wa Nchi za SADC wa masuala ya Tehama, Uchukuzi, Habari na Hali ya Hewa.[/caption] [caption id="attachment_47116" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akihutubia kwenye Mkutano wa Mawaziri wa Nchi za SADC wa masuala ya Tehama, Uchukuzi, Habari na Hali ya Hewa[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi