Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Maadhimisho ya Tamasha la JAMAFEST 2019 Jijini Dodoma.
Sep 21, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_47164" align="aligncenter" width="902"] Watumishi wa Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo wakiwa katika maadhimisho ya Tamasha la Utamaduni na Sanaa (JAMAFEST) leo Septemba 21 Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_47167" align="aligncenter" width="949"] Baadhi ya Vikundi vya ngoma vya Jijini Dodoma vikitumbuiza katika maadhimsho ya Tamasha la Utamaduni na Sanaa (JAMAFEST) leo Septemba 21 Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_47168" align="aligncenter" width="866"] Kaimu Mkurugenzi Idara ya Utamaduni Bibi Hadija Kisubi akizungumza katika maadhimsho ya Tamasha la Utamaduni na Sanaa (JAMAFEST) leo Septemba 21 Jijini Dodoma.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi