Kuweni Wabunifu Muweze Kujiajiri - Majaliwa
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka vijana wanaohitimu masomo nchini wasikae majumbani na badala yake watumie elimu yao kubuni namna ya kujiajiri.
“Lazima tubadilike ili wahitimu wasisubiri kazi za masomo. Ukimaliza masomo, tumia ujuzi wako kuona unaweza vipi kujiajiri,” alisema.
Ametoa wito huo jana jioni (Jumatatu, Agosti 17, 2020) wakati akizungumza na wahitimu wa Seneti ya Dar es Salaam kwenye mahafali ya vyuo na vyuo vikuu vya jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Karimjee, jiji...
Read More