Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Wakili Amon Mpanju akizungumza wakati wa ziara ya Manaibu Makatibu Wakuu kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara kwenye Makazi ya Wazee FungaFunga yaliyopo mkoani Morogoro.
Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum imejipanga kushirikiana na Wizara za kisekta na wadau mbalimbali ili kuboresha huduma katika Makazi ya Wazee nchini ikiwemo kutathimini matumizi...
Read More