Rais Dkt. Mwinyi Akutana na Kuzungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran
Aug 26, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimkabidhi zawadi Waziri wa Mambo ya Nje nchini Iran, Mhe.Hossein Amir Abdollahian baada ya mazungumzo yao alipofika na Ujumbe wake Ikulu Jijini Zanzibar akiwa ziarani nchini leo tarehe 26/08/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyiakiagana na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa nchini Iran, Mhe.Hossein Amir Abdollahian (kushoto) baada ya mazungumzo yao leo alipofika na Ujumbe wake Ikulu Jijini Zanzibar akiwa ziarani nchini.