Mkuu wa Wilaya ya Mlele, Bw. Filberto Sanga, akisaini katika daftari la wageni alipotembelea Banda la Wizara ya Fedha na Mipango katika Maonesho ya Nanenane yenye kauli mbiu ‘Kilimo ni biashara, shiriki kuhesabiwa kwa mipango bora ya Kilimo, Uvuvi na Mifugo”, yanayofanyika kitaifa uwanja wa John Mwakangale, jijini Mbeya. Kulia ni Katibu Mahsusi Wizara ya Fedha na Mipango, Bi. Masia Msuya.
Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika, Bw. Onesmo Buswelu (kushoto) na Mkuu wa Wilaya ya Mlele, Bw. Filberto Sanga (wa pili kushoto) wakimsikiliza Afisa Mwandamizi...
Read More