Waziri Mkuu Aweka Jiwe la Msingi Ujenzi Jengo la Utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Singida
Aug 06, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa jengo la Utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Singida ambalo ujenzi wake unategemea kukamilika ifikapo Novemba, 2022, akiwa kwenye ziara ya siku mbili mkoani Singida. Agosti 6, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa jengo la Utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Singida ambalo ujenzi wake unategemea kukamilika ifikapo Novemba, 2022, akiwa kwenye ziara ya siku mbili mkoani Singida. Agosti 6, 2022
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifafanuliwa jambo na Mganga Mfawidhi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida, Dkt. Deogratias Banuba (kulia) wakati alipokagua ujenzi wa hospitali hiyo ya Rufaa, akiwa kwenye ziara ya siku mbili mkoani Singida. Agosti 6, 2022.