Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wananchi wa Chunya Mjini mkoani Mbeya alipokua njiani akielekea Makongorosi kwa ajili ya kukagua mradi wa Barabara ya kiwango cha lami km 39 Chunya Makongorosi tarehe 06 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisogeza kitambaa kuashiria uzinduzi wa mradi wa maji Makongolosi wilayani Chunya mkoani Mbeya tarehe 06 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua mradi wa maji Makongolosi wilayani Chunya mkoani Mbeya tarehe 06 Agosti, 2022.