Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akiweka saini katika kitabu cha maombolezo ya kifo cha dada wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango Marehemu, Bi. Maria Isdor Nzabhayanga mara baada ya kuwasili msibani katika Kijiji cha Kipalapala mkoani Tabora leo tarehe 30 Agosti, 2023.
Read More