Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Ujumbe wa Viongozi wa Kanisa la Anglikana Tanzania ukiongozwa na Askofu Mkuu, Maimbo Mndolwa (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 30-8-2023, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar
Giza
Mwanga
Chaguo Msingi
Ndogo
Kawaida
Kubwa