Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Dkt. Selemani Jafo akiweka saini katika kitabu cha maombolezo ya kifo cha dada wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango Marehemu, Bi. Maria Isdor Nzabhayanga mara baada ya kuwasili msibani katika Kijiji cha Kipalapala mkoani Tabora leo tarehe 30 Agosti, 2023Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Dkt. Switbert Mkama akiweka saini katika kitabu cha maombolezo ya kifo cha dada wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango Marehemu, Bi. Maria Isdor Nzabhayanga mara baada ya kuwasili msibani katika Kijiji cha Kipalapala mkoani Tabora leo tarehe 30 Agosti, 2023.
Giza
Mwanga
Chaguo Msingi
Ndogo
Kawaida
Kubwa