Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu wa Djibout, Abdoulkader Kamil Mohamed, jijini Tunis, Tunisia Agosti 29, 2022. Wote wawili walishiriki Mkutano wa wakuu wa nchi na Serikali wa TICAD uliomalizika nchini humo hivi karibuni
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu wa Djibout, Abdoulkader Kamil Mohamed, jijini Tunis, Tunisia Agosti 29, 2022. Wote wawili walishiriki Mkutano wa wakuu wa nchi na Serikali wa TICAD uliomalizika nchini humo hivi karibuni
Read More