Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu wa Djibout, Abdoulkader Kamil Mohamed, jijini Tunis, Tunisia Agosti 29, 2022. Wote wawili walishiriki Mkutano wa wakuu wa nchi na Serikali wa TICAD uliomalizika nchini humo hivi karibuni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu wa Djibout, Abdoulkader Kamil Mohamed, jijini Tunis, Tunisia Agosti 29, 2022. Wote wawili walishiriki Mkutano wa wakuu wa nchi na Serikali wa TICAD uliomalizika nchini humo hivi karibuni
Giza
Mwanga
Chaguo Msingi
Ndogo
Kawaida
Kubwa