[caption id="attachment_33555" align="aligncenter" width="750"] Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, Phaustine Kasike akipokea saluti kutoka kwa Kamishna wa Utawala wa Magereza, Gaston Sanga mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ofisi ya Makao Makuu ya Jeshi la Magereza jijini, Dar es Salaam, leo Julai 16, 2018.[/caption]
[caption id="attachment_33556" align="aligncenter" width="750"] Kamishna Jenerali wa Magereza, Phaustine Kasike akipokea salamu ya heshima kutoka kwa Gwaride maalum lililoandaliwa kwa ajili ya mapokezi yake Makao...
Read More