Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Mapokezi ya Kamishna Jenerali wa Magereza Leo Makao Makuu ya Jeshi la Magereza
Jul 16, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_33555" align="aligncenter" width="750"] Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, Phaustine Kasike akipokea saluti kutoka kwa Kamishna wa Utawala wa Magereza, Gaston Sanga mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ofisi ya Makao Makuu ya Jeshi la Magereza jijini, Dar es Salaam, leo Julai 16, 2018.[/caption] [caption id="attachment_33556" align="aligncenter" width="750"] Kamishna Jenerali wa Magereza, Phaustine Kasike akipokea salamu ya heshima kutoka kwa Gwaride maalum lililoandaliwa kwa ajili ya mapokezi yake Makao Makuu ya Jeshi hilo.[/caption] [caption id="attachment_33557" align="aligncenter" width="750"] Kamishna Jenerali wa Magereza, Phaustine Kasike akikagua gwaride maalum lililoandaliwa na Maofisa na askari wa Jeshi la Magereza.[/caption] [caption id="attachment_33558" align="aligncenter" width="750"] Kamishna Jenerali mstaafu, Dkt. Juma Malewa(suti nyeusi) akimkaribisha Kamishna Jenerali mpya wa Magereza, Phaustine Kasike mara baada ya kumaliza kukagua gwaride rasmi lililoandaliwa na maofisa na askari wa Jeshi la Magereza.[/caption] [caption id="attachment_33559" align="aligncenter" width="750"] Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali nchini wakifanya mahojiano maalum na Kamishna Jenerali wa Magereza, Phaustine Kasike mara baada ya mapokezi Makao Makuu ya Jeshi hilo.[/caption] [caption id="attachment_33561" align="aligncenter" width="1000"] Kamishna Jenerali wa Magereza, Phaustine Kasike akisisitiza jambo wakati alipokuwa akizungumza na Maafisa, askari na watumishi raia wa Jeshi hilo[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi