Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu, Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Dar es salaam, Julai 29, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Katibu Mkuu wa Chama ACT Wazalendo, Ado Shaibu baada ya mazungumzo, Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Dar es salaam, Julai 29, 2022.
Read More