Majaliwa Akutana na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo - Ado Shaibu
Jul 29, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Katibu Mkuu wa Chama ACT Wazalendo, Ado Shaibu baada ya mazungumzo, Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Dar es salaam, Julai 29, 2022.