Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Bw. Ephraim Kwesigabo akitoa taarifa ya mfumuko wa bei wa Taifa kwa mwezi Juni, 2017 ambao umepungua hadi asilimia 5.4 toka asilimia 6.1 ilivyokuwa mwezi Mei, 2017, kulia ni Kaimu Meneja wa Idara ya Takwimu za Ajira na Bei wa ofisi hiyo Bi. Ruth Minja.
Na Mwandishi Wetu
Mfumuko wa bei umepungua hadi kufikia asilimia 5.4 mwezi June, 2017 ikilinganishwa na asilimia 6.1 ya mwezi Mei mwaka 2017.
Taarifa ya kushuka kwa mfumuko wa bei kwa kipindi cha mwezi mmoja...
Read More