[caption id="attachment_45187" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu, akiwasha umeme katika moja ya sehemu za huduma za kinyozi wa kiume katika kijiji cha Nyange wilayani Kibondo mkoani Kigoma alipofanya ziara ya kukagua maendeleo ya utekelezaji wa mradi wa kusambaza umeme vijijini( REA)[/caption]
Na Zuena Msuya, Kigoma
Naibu Waziri wa Nishati,Subira Mgalu,amesema haridhishwi na kasi ya usambazaji wa umeme vijijini inayofanywa na mkandarasi wa Kampuni ya Urban and Rural Engineering Services, wilayani Kibondo...
Read More