Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Mstaafu wa SMZ Abeid Karume Atembelea Maonesho ya Sabasaba
Jul 11, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_45191" align="aligncenter" width="750"] Rais Mstaafu-Zanzibar, Amani Abeid Karume, akisaini kitabu cha wageni katika banda la wajasiriamali wakinamama, alipotembelea maonesho ya 43 ya Biashara ya kimataifa (sabasaba) yanayoendelea katika viwanja vya JK Nyerere barabara ya Kilwa, Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_45192" align="aligncenter" width="750"] Rais Mstaafu-Zanzibar, Amani Abeid Karume akipata maelezo kuhusu bidhaa za korosho kutoka moja ya makampuni ya kuzalisha korosho nchini alipotembelea maonesho ya 43 ya Biashara ya kimataifa (sabasaba) yanayoendelea katika viwanja vya JK Nyerere barabara ya Kilwa, Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_45193" align="aligncenter" width="750"] Rais Mstaafu-Zanzibar, Amani Abeid Karume, akichagua Korosho kutoka kwenye moja Makampuni yaliyoko kwenye maonesho ya biashara ya kimataifa (sabasaba) yanayoendelea katika viwanja vya JK Nyerere barabara ya Kilwa, Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_45195" align="aligncenter" width="750"] Rais Mstaafu-Zanzibar, Amani Abeid Karume, akiangalia transifoma lililotengenezwa hapa nchini na kampuni ya Tropical walipotembelea banda lao katika maonesho ya 43 ya Biashara ya kimataifa (sabasaba) yanayoendelea katika viwanja vya JK Nyerere barabara ya Kilwa, Jijini Dar es Salaam.
(Picha na Idara ya Habari-MAELEZO).[/caption] [caption id="attachment_45194" align="aligncenter" width="750"] Rais Mstaafu-Zanzibar, Amani Abeid Karume na Mkewe Mama Shadya Karume, wakiangalia bidhaa zinazotengenezwa na Jeshi la Magereza walipotembelea banda lao katika maonesho ya 43 ya Biashara ya kimataifa (sabasaba) yanayoendelea katika viwanja vya JK Nyerere barabara ya Kilwa, Jijini Dar es Salaam.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi