Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Mhe. Dkt. Magufuli Azungumza na Wananchi wa Kyaka, Rwamishenye, Kemondo na Muleba Wakati Akitokea Kargare Mkoani Kagera
Jul 11, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_45200" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Rwamishenye wakati akitokea Karagwe mkoani Kagera.[/caption] [caption id="attachment_45209" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Kemondo nje kidogo ya Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera.[/caption] [caption id="attachment_45201" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiandika kero mbalimbali zilizokuwa zikitolewa na wananchi wa Muleba mkoani Kagera wakati akielekea Chato mkoani Geita.[/caption] [caption id="attachment_45210" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiondoka katika eneo la Muleba mjini mara baada ya kuzungumza na wananchi wa eneo hilo.[/caption] [caption id="attachment_45203" align="aligncenter" width="750"] Mtume Venon Fernandes wa Kanisa la Agape akiwa pamoja na wananchi wa Rwamishenye wakifurahia wakati wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakati aliposimama katika eneo hilo na kuwasalimu.[/caption] [caption id="attachment_45206" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiombewa na Mtume Venon Fernandes wa Kanisa la Agape pamoja na wananchi wa Rwamishenye Bukoba mkoani Kagera mara baada ya kuzungumza nao wakati akitokea Karagwe.[/caption] [caption id="attachment_45204" align="aligncenter" width="641"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mtume Venon Fernandes wa Kanisa la Agape katika eneo hilo la Rwamishenye wakati akielekea Chato mkoani Geita.[/caption] [caption id="attachment_45211" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisali mbele ya Kaburi la Marehemu Mhandisi Leopard Mjungi ambaye alikuwa Mkurugenzi wa barabara Kuu kutoka Wizara ya Ujenzi.[/caption] [caption id="attachment_45212" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza nyumbani kwa marehemu Mhandisi Leopard Mjungi ambaye alikuwa Mkurugenzi wa barabara Kuu kutoka Wizara ya Ujenzi mara baada ya kuwasili kijijini hapo Muleba mkoani Kagera. Marehemu Mhandisi Mjungi alifariki mwaka 2007.[/caption] [caption id="attachment_45213" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi wa Muleba wakati akitoka nyumbani kwa marehemu Mhandisi Leopard Mjungi ambaye alikuwa Mkurugenzi wa barabara Kuu wa Wizara ya Ujenzi. PICHA NA IKULU[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi