[caption id="attachment_45177" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Lazaro Mambosasa, wakati alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere akitokea nchini Misri alipokua kwenye ziara ya kikazi ya siku tatu. Kulia ni Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Puyo Ngalayainisi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).[/caption]