Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Katika Picha Awamu ya Pili ya Mafunzo Kwa Waandishi wa Habari Kuhusu SADC
Jul 11, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_45167" align="aligncenter" width="900"] Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Dkt Ayub Rioba akiwasilisha mada wakati wa mafunzo kwa kundi la pili la waandishi wa habari wanaojengewa uwezo ili waweze wa kuandika na kuripoti habari za nchi wanachama wa SADC, Mafunzo hayo yanafanyika mjini Morogoro kuanzia Julai 11, 2019 ambapo yatafanyika kwa siku tatu.[/caption] [caption id="attachment_45168" align="aligncenter" width="900"] Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari- MAELEZO Bi Zamaradi Kawawa akieleza umuhimu wa waandishi wa habari kufuatilia na kutangaza manufaa ya mkutano wa wakuu wa nchi na Serikali za nchi wanachama wa SADC leo Julai 11, 2019 mjini Morogoro.[/caption] [caption id="attachment_45169" align="aligncenter" width="900"] Katibu Mkuu mstaafu Balozi Hebert Mrango akiwasilisha mada kuhusu historia ya SADC, masuala ya siasa, uchumi na kijami wakati wa mafunzo kwa kundi la pili la waandishi wa habari wanaojengewa uwezo ili waweze wa kuandika na kuripoti habari za nchi wanachama wa SADC, Mafunzo hayo yanafanyika mjini Morogoro kuanzia Julai 11, 2019 ambapo yanafanyika kwa siku tatu.[/caption] [caption id="attachment_45170" align="aligncenter" width="900"] Sehemu ya washiriki wa mafunzo kwa kundi la pili la waandishi wa habari wanaojengewa uwezo ili waweze wa kuandika na kuripoti habari za nchi wanachama wa SADC, Mafunzo hayo yanafanyika mjini Morogoro kuanzia Julai 11, 2019 ambapo yanafanyika kwa siku tatu.[/caption] [caption id="attachment_45171" align="aligncenter" width="900"] Sehemu ya washiriki wa mafunzo kwa kundi la pili la waandishi wa habari wanaojengewa uwezo ili waweze wa kuandika na kuripoti habari za nchi wanachama wa SADC, Mafunzo hayo yanafanyika mjini Morogoro kuanzia Julai 11, 2019 ambapo yanafanyika kwa siku tatu.[/caption] [caption id="attachment_45166" align="aligncenter" width="900"] Katibu Mkuu mstaafu Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Mussa Uledi akiwasilisha mada wakati wa awamu ya pili ya mafunzo ya kuwajengea uwezo waandishi wa habari ili waweze kutekeleza majukumu yao kwa weledi katika kuandika na kuripoti habari zinazohusu Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) yanayoendelea mjini Morogoro leo Julai 11, 2019 ikiwa ni siku ya kwanza ya mafunzo hayo.[/caption]

(Picha na Abubakari Kafumba)

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi