Na Frank Mvungi, Dodoma
Katika kupambana na adui rushwa, Taasisi yetu ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imeweza kufungua mashauri 2,256; ambapo mashauri 1,926 tayari yametolewa uamuzi, na Serikali imepata ushindi kwenye mashauri 1,013. Hayo ni sehemu ya maneno aliyosema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Magufuli wakati wa hotuba yake ya kuvunja Bunge la 11 June 16, 2020 Jijini Dodoma.
Dhamira hii ya Rais wetu mpendwa Dkt. Magufuli haina budi kuendelea kuungwa mkono na kila mtanzania ili kujenga taifa ambalo kila mwananc...
Read More