Frank Mvungi- MAELEZO, Mbeya
Mfumo wa Usimamizi wa Fedha za Umma katika Mamlaka za Serikali za Mitaa toleo la 10.2 (Epical 10.2 ) umetajwa kuchochea utekelezaji wa dhana ya uwazi, uwajibikaji na utawala bora katika usimamizi wa fedha za umma .
Akisoma hotuba ya Katibu Tawala Mkoa wa Mbeya, Bi. Mariam Mtunguja, Afisa Elimu Mkoa wa Mbeya Bi. Paulina Ntigeza amesema kuwa mafunzo ya mfumo wa Epicor 10.2 yatasaidia kuongeza tija katika utendaji kutokana na mfumo huo kuandaliwa mahsusi kuungana na mifumo mingine ili kukidhi matakwa ya maboresho...
Read More