Afisa Elimu Mkoa wa Mbeya Bi. Paulina Ntigeza akisisitiza umuhimu wa Mafunzo ya Mfumo wa Usimamizi wa fedha za Umma wa Epicor toleo la 10.2 kwa wahasibu, waweka hazina, Maafisa Ugavi wa Mikoa ya Mbeya, Songwe na Rukwa kwa niaba ya Katibu Tawala wa Mkoa huo Bi. Mariam Mtunguja leo Jijini Mbeya wakati wa hafla ya ufunguzi wa mafunzo hayo.Afisa Elimu Mkoa wa Mbeya Bi. Paulina Ntigeza akiwa kwenye picha ya pamoja na washiriki wa mafunzo kuhusu Mfumo wa Usimamizi wa fedha za Umma wa Epicor toleo la 10.2 yalishirikisha wahasibu, waweka hazina, Maafisa Ugavi wa Mikoa ya Mbeya, Songwe leo Jijini Mbeya
Mkuu wa Timu ya Mifumo kutoka Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) Bw. Desderi Wengaa akitoa maelezo kuhusu mfumo wa Usimamizi wa fedha za Umma wa Epicor toleo la 10.2 utakavyosaidia kuboresha utendaji katika Mamlaka za Serikali za Mitaa leo Jijini Mbeya wakati wa hafla ya ufunguzi wa mafunzo hayo.
Sehemu ya washiriki wa mafunzo hayo wakifuatilia hotuba ya Afisa Elimu Mkoa wa Mbeya Bi. Paulina Ntigeza ambaye alikuwa mgeni rasmi wakati wa hafla ya ufunguzi wa mafunzo ya Mfumo wa Usimamizi wa fedha za Umma wa Epicor toleo la 10.2 yanayofanyika Jijini Mbeya yakiwashirikisha Wahasibu, Maafisa Ugavi na Waweka Hazina kutoka Mikoa ya Mbeya, Songwe na Rukwa.
Sehemu ya washiriki wa mafunzo hayo wakifuatilia hotuba ya Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya Bi . Mariam Mtunguja iliyosomwa kwa niaba yake na Afisa Elimu Mkoa wa Mbeya Bi.Paulina Ntigeza ambaye alikuwa mgeni rasmi wakati wa hafla ya ufunguzi wa mafunzo ya Mfumo wa Usimamizi wa fedha za Umma wa Epicor toleo la 10.2 yanayofanyika Jijini Mbeya yakiwashirikisha Wahasibu, Maafisa Ugavi na Waweka Hazina kutoka Mikoa ya Mbeya, Songwe na Rukwa.
Mkuu wa Timu ya Mifumo kutoka Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) Bw. Desderi Wengaa akiagana na Afisa Elimu Mkoa wa Mbeya Bi. Paulina Ntigeza ambaye alikuwa mgeni rasmi kwa niaba ya Katibu Tawala wa Mkoa huo Bi. Mariam Mtunguja leo Jijini Mbeya katika hafla ya ufunguzi wa mafunzo ya Mfumo wa Usimamizi wa fedha za Umma wa Epicor toleo la 10.2 kwa wahasibu, waweka hazina, Maafisa Ugavi wa Mikoa ya Mbeya, Songwe na RukwaMkuu wa Timu ya Mifumo kutoka Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) Bw. Desderi Wengaa (kushoto) akimkaribisha Afisa Elimu Mkoa wa Mbeya Bi. Paulina Ntigeza kufungua mafunzo Usimamizi wa fedha za Umma wa Epicor toleo la 10.2 yalishirikisha wahasibu, waweka hazina, Maafisa Ugavi wa Mikoa ya Mbeya, Songwe na Rukwa kwa niaba ya Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya Bi. Mariam Mtunguja leo Jijini Mbeya.
Afisa Elimu Mkoa wa Mbeya Bi. Paulina Ntigeza akisisitiza jambo kwa Mkuu wa Timu ya Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) Bw. Desderi Wengaa mara baada ya kufungua mafunzo kuhusu Usimamizi wa fedha za Umma wa Epicor toleo la 10.2 yalishirikisha wahasibu, waweka hazina, Maafisa Ugavi wa Mikoa ya Mbeya, Songwe na Rukwa kwa niaba ya Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya Bi. Mariam Mtunguja leo Jijini Mbeya.
(Picha zote na Frank Mvungi- MAELEZO, Mbeya)