[caption id="attachment_44800" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, TAMISEMI, Joseph Kandege akihutubia kwenye hafla ya uzinduzi wa Ripoti ya Jamii kutoka vodacom ( Social Impact Report and new strategy to deliver inclusive growth) inayohusu kazi zinazofanywa na Taasisi hiyo, uliofanyika Juni 27, 2019, Jijini Dar es Salaam.[/caption]
Na Lailat Abeid MAELEZO
Serikali imesema itaendelea kushirikiana na kampuni za simu ili kuwasaidia wananchi katika mambo mbalimbali ya kijamii yakiwemo ya Afya, Elimu na Miundombinu.
Ak...
Read More