Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Katika Picha Uzinduzi wa Matokeo ya Viashiria vya Mapato na Matumizi kwa Kaya Binafsi
Jun 29, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_44761" align="aligncenter" width="981"] Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Dkt. Albina Chuwa alipo wasili katik hafla ya uzinduzi wa Matokeo ya Viashiria Muhimu vya Utafiti wa Mapato na Matumizi kwa Kaya Binafsi kwa Tanzania Bara mwaka 2017/18 pamoja na uzinduzi wa jingo la Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS) leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_44762" align="aligncenter" width="880"] Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa Matokeo ya Viashiria Muhimu vya Utafiti wa Mapato na Matumizi kwa Kaya Binafsi Tanzania Bara mwaka 2017/18 pamoja na uzinduzi wa jengo la Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS) leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_44763" align="aligncenter" width="1000"] Naibu Waziri wa Fedha na Mipango. Dkt. Ashatu Kijaji akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Matokeo ya Viashiria Muhimu vya Utafiti wa Mapato na Matumizi kwa Kaya Binafsi Tanzania Bara mwaka 2017/18 pamoja na uzinduzi wa jengo la Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS) leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_44764" align="aligncenter" width="959"] Mtakwimu Mkuu wa Serikali toka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Dkt. Albina Chuwa akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Matokeo ya Viashiria Muhimu vya Utafiti wa Mapato na Matumizi kwa Kaya Binafsi Tanzania Bara mwaka 2017/18 pamoja na uzinduzi wa jengo la Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS) leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_44765" align="aligncenter" width="1000"] Mkuu wa Wilaya ya Bahi ambaye pia ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Bi. Mwanahamisi Mukunda akitoa salamu za mkoa wakati wa hafla ya uzinduzi wa Matokeo ya Viashiria Muhimu vya Utafiti wa Mapato na Matumizi kwa Kaya Binafsi Tanzania Bara mwaka 2017/18 pamoja na uzinduzi wa jengo la Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS) leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_44766" align="aligncenter" width="935"] Mwakilishi wa Benki ya Dunia, Denis Biseko akitoa salamu wakati wa hafla ya uzinduzi wa Matokeo ya Viashiria Muhimu vya Utafiti wa Mapato na Matumizi kwa Kaya Binafsi Tanzania Bara mwaka 2017/18 pamoja na uzinduzi wa jengo la Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS) leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_44767" align="aligncenter" width="1000"] Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango. Dkt. Ashatu Kijaji wakifurahia baada ya kufunua kitamba kuashiria kuweka jiwe la msingi la uzinduzi wa jengo la Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_44768" align="aligncenter" width="1000"] Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa na akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa jengo la Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_44769" align="aligncenter" width="1000"] Muonekano wa nje wa jengo la Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) lililozinduliwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_44770" align="aligncenter" width="1000"] Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa na akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Matokeo ya Viashiria Muhimu vya Utafiti wa Mapato na Matumizi kwa Kaya Binafsi Tanzania Bara mwaka 2017/18 leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_44771" align="aligncenter" width="828"] Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akimkabidhi Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, Mhe. George Simbachawene Kitabu cha Matokeo ya Viashiria Muhimu vya Utafiti wa Mapato na Matumizi kwa Kaya Binafsi Tanzania Bara mwaka 2017/18 mara baada ya kuzinduliwa leo jijini Dodoma. Kushoto ni Naibu Waziri wa Fedha na Mipango. Dkt. Ashatu Kijaji.[/caption] [caption id="attachment_44772" align="aligncenter" width="1000"] Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akimkabidhi Mtakwimu Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Bibi. Mayasa Sadala Kitabu cha Matokeo ya Viashiria Muhimu vya Utafiti wa Mapato na Matumizi kwa Kaya Binafsi Tanzania Bara mwaka 2017/18 mara baada ya kuzinduliwa leo jijini Dodoma. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Bahi ambaye pia ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Bi. Mwanahamisi Mukunda.[/caption] [caption id="attachment_44773" align="aligncenter" width="1000"] Baadhi ya washiriki wa hafla ya uzinduzi wa Matokeo ya Viashiria Muhimu vya Utafiti wa Mapato na Matumizi kwa Kaya Binafsi Tanzania Bara mwaka 2017/18 pamoja na uzinduzi wa jengo la Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS) wakifuatilia hotuba mbalimbali za viongozi leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_44774" align="aligncenter" width="1000"] Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Kamati ya Maandandilizi ya hafla ya uzinduzi wa Matokeo ya Viashiria Muhimu vya Utafiti wa Mapato na Matumizi kwa Kaya Binafsi Tanzania Bara mwaka 2017/18 pamoja na uzinduzi wa jengo la Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS) leo jijini Dodoma. (Picha na Frank Shija – MAELEZO).[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi