Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega (kulia) akiongea na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Kimataifa la kusafirisha mizigo (DHL), Tanzania, Bi. Fatma Abubakar walipokutana ofisini kwake jijini Dodoma Mei 19, 2022.
Na Mbaraka Kambona,
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amekutana na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Kimataifa la Kusafirisha Mizigo (DHL) nchini Tanzania, Bi. Fatma Abubakar kujadiliana namna Serikali na shirika hilo watakavyoweza kushirikiana kufungua zaidi masoko ya Kimataifa ya z...
Read More