Mkurugenzi Msaidizi wa Rasilimali Watu na Utawala wa Wizara ya Habari, Mwasiliano na Teknolojia ya Habari, Bw. Suleiman Mvunye akizungumza wakati akiwakaribisha watumishi wa Wizara hiyo wa awamu ya pili ya mafunzo ya kuwajengea uelewa kuhusu Mradi wa Tanzania ya Kidijitali leo tarehe 31 Mei, 2022, jijini Arusha.
Mkurugenzi Msaidizi wa Mipango na Sera, wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Bw. Elisa Mbise akichangia mada kwenye mafunzo ya kuwajengea uelewa kuhusu Mradi wa Tanzania ya Kidijitali leo tarehe 31 Mei, 2022, ji...
Read More