Awamu ya Pili ya Mafunzo ya Kuwajengea Uelewa Watumishi wa Wizara ya Habari Yazinduliwa Jijini Arusha
May 31, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Mkurugenzi Msaidizi wa Mipango na Sera, wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Bw. Elisa Mbise akichangia mada kwenye mafunzo ya kuwajengea uelewa kuhusu Mradi wa Tanzania ya Kidijitali leo tarehe 31 Mei, 2022, jijini Arusha.
Mkurugenzi wa Sheria wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Bi. Lugano Rwetaka akifafanua jambo kwenye mafunzo ya kuwajengea uelewa kuhusu Mradi wa Tanzania ya Kidijitali leo tarehe 31 Mei, 2022, jijini Arusha.
Mratibu wa Mradi wa Tanzania ya Kidijiti, Bw. Honest Njau akitoa mada ya kuwajengea uelewa kuhusu Mradi wa Tanzania ya Kidijitali watumishi wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari leo tarehe 31 Mei, 2022, jijini Arusha.
Baadhi wa Watumishi wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari walioshiriki katika awamu ya pili ya mafunzo ya kuwajengea uelewa kuhusu Mradi wa Tanzania ya Kidijitali leo tarehe 31 Mei, 2022, jijini Arusha.