Na WMJJWM, Dodoma
Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum kwa kushirikiana na Wizara za Kisekta pamoja na wadau wa Ustawi wa Jamii, ina mpango wa kutengeneza mfumo jumuishi utakaosaidia kusimamia na kupatikana kwa taarifa za huduma za ustawi wa jamii nchini.
Akifungua kikao kilichoikutanisha Wizara, Wizara za kisekta na Wadau, kwa lengo la kujadili namna ya kutengeneza mfumo huo, jijini Dodoma tarehe 14 Aprili, 2022, Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wanawake na Makundi Ma...
Read More