Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan Akutana na Kuzungumza na Rais wa National Democratic Institute Jijini Washington Marekani
Apr 15, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Rais wa National Democratic Institute (NDI), Dkt. Derek Mitchell Jijini Washington Nchini Marekani leo tarehe 14 April 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa National Democratic Institute (NDI), Dkt. Derek Mitchell aliyeambatana na Ujumbe wake Jijini Washington Nchini Marekani leo tarehe 14 April 2022.