Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan Afutarisha Mabalozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Mabalozi wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) USA.
Apr 18, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wa Nchi Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Mabalozi wa Nchi Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), baada ya Futari aliyoiyandaa kwa ajili ya Mabalozi hao Jijini Washington Marekani.