Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan Amewasili Jijini New York Marekani
Apr 16, 2022
Na Jacquiline Mrisho

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akipokea Shada la Maua kutoka kwa Watoto Amani Lujwangana, Abella Lujwangana na Sophia Quito mara baada ya kuwasili  Jijini New York nchini Marekani kwa ajili ya kuendelea na ziara yake ya kikazi leo tarehe 16 Aprili 2022.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi