[caption id="attachment_30093" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harisson Mwakyembe ambapo alieleza mikakati ya serikali ya kuendelea kulinda na kuenzi tamaduni na maadili ya Mtanzania hasa katika sekta ya sanaa nchini, wakati wa kipindi cha maswali na majibu katika mkutano wa kumi na moja wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo mjini Dodoma.[/caption]
Na: Octavian Kimario
WHUSM
Serikali imesema itaendelea kuzichukulia hatua kazi za sanaa ikiwa ni pamoja na nyimbo za wasanii zi...
Read More