Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Mke wa Rais wa Zanzibar Azindua Chanjo ya Saratani ya Kizazi Zanzibar
Apr 10, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_30136" align="aligncenter" width="750"] Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe,Hassan Khatibu Hassan wakati alipowasili viwanja vya Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati Unguja katika Uzinduzi wa Chanjo mpya Dhidi ya Maradhi ya Saratani ya Shingo ya Mlango wa Kizazi iliyofanyika leo (wa pili kushoto) Waziri wa Afya Mhe.Hamad Rashid Mohamed.[/caption] [caption id="attachment_30137" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya Viongozi wa Wizara ya Afya na Wananchi mbali mbali waliohudhuria katika Uzinduzi wa Chanjo mpya Dhidi ya Maradhi ya Saratani ya Shingo ya Mlango wa Kizazi iliyofanyika leo katika ukumbi wa Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,ambapo Mgeni rasmi alikuwa Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (hayupo pichani).[/caption] [caption id="attachment_30138" align="aligncenter" width="750"] Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (katikati) alipokuwa akitoa hutuba yake ya Uzinduzi wa Chanjo mpya Dhidi ya Maradhi ya Saratani ya Shingo ya Mlango wa Kizazi iliyofanyika leo katika ukumbi wa Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, (kushoto0 Waziri wa Afya Mhe.Hamad Rashid Mohammed na Waziri wa Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Wanawake na Watoto Mhe.Moudline Syrus Castico,[Picha na Ikulu.] 10/04/2018.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi