Na Lilian Lundo
Jamii yatakiwa kutomaliza masuala ya ukatili wa kijinsia ndani ya familia na badala yake ishirikiane na Serikali ili sheria ichukue mkondo wake.
Hayo yameelezwa leo, Bungeni Jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faustine Ndugulile alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Zainab Mussa Bakar kuhusu lini Serikali italeta muswada wa sheria bungeni ili kurekebisha sheria hiyo iwe kali zaidi.
"Kwa ujumla sheria zilizopo zinajitosheleza kabisa kuwashu...
Read More