[caption id="attachment_41856" align="aligncenter" width="1000"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa na mwenyeji wake Waziri wa mambo ya Nje wa Rwanda Balozi Richard Sezibera .aliye mpokea katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Kigali alipo wasili leo Aprili 7/2019 alipo fika kumuwakilisha Rais Dr John Magufuli katika kumbumbu ya miaka 25 ya mauji ya kimbari yaliyotokea 1994 kulia ni Balozi wa Tanzania Nchini Rwanda Balozi Ernest Mangu.[/caption] [caption id="attachment_41858" align="aligncenter" width="1000"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais Mstaafu awamu ya Tatu Benjamin Mkapa walipo kutana leo Aprili 7/2019 katika Mji wa Kigali wakati waziri Mkuu alipokuwa anamuwakilisha Rais Dr John Magufuli katika kumbumbu ya miaka 25 ya mauji ya kimbari yaliyotokea 1994[/caption] [caption id="attachment_41857" align="aligncenter" width="1000"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akibadilishana Mawazo na Rais Mstaafu wa Naigeria Olusegun. Obasanjo walipo kutana leo Aprili 7/2019 katika Mji wa Kigali wakati waziri Mkuu alipokuwa anamuwakilisha Rais Dr John Magufuli katika kumbumbu ya miaka 25 ya mauji ya kimbari yaliyotokea 1994